SectionsThanksgiving(A) Mungu Baba

(A) Mungu Baba

Ordinary Time,Ordinary TimeThanksgiving
Verse 1

Mungu Baba, twakuabudu,

twakushukuru, twakusifu)

Maisha yangu na nafsi yangu,

naitolea mbele yako x2

Mungu Mwana twakuabudu,

twakushukuru, twakusifu, maisha yangunna dhambi zangu,

nazitolea mbele yako x2

Mungu Roho, twakuabudu,

twakushukuru, twakusifu,

maisha yangu na shida zangunnazitolea mbele yako x2

Maisha yangu na nafsi yangu .....

Maisha yangu na dhambe zangu....

Maisha yangu na shida zangu...

Chorus

Nakusunga nitukusunga, nawathi tuyina,

Asa nutaiwe, nitukukatha x2

Verse 3

Utunete Athembi mana Asa Mwiai

Kwoondu wa matei, Asa nutaiwe x2

Utunete thayu mana Asa Mwiai

Kwoondu wa matei, Asa nutaiwe x2

Utunete mali mana Asa Mwiai

Kwoondu wa matei, Asa nutaiwe x2

Utunete syana mana Asa Mwiai

Kwoondu wa matei, Asa nutaiwe x2

Comments

Sign in to join the conversation

Share your thoughts on this hymn with the community.