Aleluya aleluya, mimi ndimi chakula
Chakula chenye uzima
Mtu akila chakula, akila chakula hikinataishi milele
Aleluya - aleluya, aah, aleluya
Aleluya, aleluya aleluya
Twaeni twaeni aee huu ndio mwili ae
Mpate uzima wa milele, wa milele
Akatwaa kikombe aee, akashukuru aee
Akawapa wakinywe wote, wakinywe woten
Tumshangilie aee, tupige makofi aee
Tukampokee huyu Yesu, mtetezi wetu
//hitimisho//
Huyu ndiye Yesu Kristu hoiye, haya haya
Tumpokee kwa upendo hoiye, haya haya
Huyu ndiye Yesu Kristu hoiye, haya haya
Tumpokee kwa upendo hoiye, haya hayanhoiye Yesu haya hayanni shangwe ni shangwe
Hakika Yesu ndiye Bwana, mwana wa Mungu
Ndiye anayetufungulia mbingunaee ee ee
Aleluya - aleluya, aah, aleluya
Aleluya, aleluya aleluyan
Comments
Sign in to join the conversation
Share your thoughts on this hymn with the community.