Amepaa Amepaa

EasterSign of Peace
Chorus

Amepaa amepaa juu Mbinguni

Amepaa amepaa juu Mbinguni

Verse 2

Nimepewa mamlaka yote aleluya

Mbinguni na duniani aleluya

Verse 3

Nendeni mkawafanye mataifa yote aleluya

Wawe wafuasi aleluya

Verse 4

Wabatizeni kwa jina la Baba na mwana aleluya

Na la Roho Mtakatifu aleluya

Verse 5

Wafundisheni kushika maagizo yote aleluya

Niliyowapeni aleluyan

Comments

Sign in to join the conversation

Share your thoughts on this hymn with the community.