SectionsEucharistAnayekula Mwili Wangu

Anayekula Mwili Wangu

Eucharist
Verse 1

Anayekula mwili wangu na anywayendamu yangu, anaishi ndani yangu,

ye’ hatakufa milele

Chorus

Yesu wangu, nakuomba nishibishe na mwilio,

nayo damu yako ninywe ‘japo sistahili mimi.

Verse 3

Ndani yangu Mwokozi yumo, kwa mwilinna damu yake, ni rafki yangu kweli,

nami sitamwacha kamwe.

Verse 4

Alikuja kutuokoa, tuliokuwa dhambini,

kwa kifo chake msalabani,

naye ‘katupa uzima.

Verse 5

Yesu wangu, uni bariki, nifundishe njianzako, nipe moyo wa shukrani,

nitembee nawe leo

Comments

Sign in to join the conversation

Share your thoughts on this hymn with the community.