SectionsExitAsante Mama Wa Yesu

Asante Mama Wa Yesu

MarianExit
Chorus

Asante mama wa Yesu,

asante sana mama Maria.

Uliye muombezi wetu,

sisi wanao wa dunianbaraka za mwana wako,

tunazipata kweli Maria.

Yote ni kwa ajili yako,

muombezi mwema Maria

Verse 2

Furaha tunaipata, udhaifu unatoweka,

unyonge unatutoka, imani inaongezeka.

Verse 3

Walemavu na wagonjwa, Yesunawafariji sana, na pia anawaponya, nankuwaongezea neema

Verse 4

Mapepo wote wabaya, na yule shetaninmuovu, haraka wanakimbia kwa jina lanmwanao Yesu

Verse 5

Uzidi kutuombea,

tupate nguvu za uzima,

tusije tukapotea tufke mbinguni kwa Baba.

Comments

Sign in to join the conversation

Share your thoughts on this hymn with the community.