Chorus
Astahili enzi utajiri na heshima
Milele milele milele milele
Astahili enzi utajiri na heshima
Milele milele milele milele
Verse 2
Mwanakondoo aliyechinjwa
Astahili kupokea enzi na utajiri
Verse 3
Na hekima na nguvu na heshima
Utukufu kwake pamoja na enzi
Daima na milele
Verse 4
Ee Mungu umpe mfalme hukumu yako
Umpe mwana wa mfalme na haki yako
Verse 5
Atawahukumu walioonewa na watu
Atawaokoa wahitaji, hatamtesa mwenye kuonewan
Verse 6
Atukuzwe Baba na Mwana na Roho Mtakatifu
Kama mwanzo na sasa na siku zote, na milele amina
Comments
Sign in to join the conversation
Share your thoughts on this hymn with the community.