SectionsEucharistAulaye Mwili Wangu

Aulaye Mwili Wangu

Ordinary TimeEucharist
Chorus

Aulaye mwili wangu, na kuinywa damunyangu (Asema Bwana), hukaa ndaninyangu nami hukaa ndani yake x2n

Verse 2

Aulaye mwili wangu, na kuinywa damu yangu,

ana uzima wa milelen

Verse 3

Njoni enyi wenye njaa, njoni enyi wenye kiu,

njoni kwangu niwashibishe.

Verse 4

Aniaminiye mimi, na kuyashika nisemayo,

nitamfufua siku ya mwisho.

Verse 5

Mlapo chakula hiki, mnywapo kikombe hiki,

mwatangaza kifo cha Bwana.

Comments

Sign in to join the conversation

Share your thoughts on this hymn with the community.