SectionsEucharistBaba Yetu (Mt.Gregory Misa)

Baba Yetu (Mt.Gregory Misa)

Ordinary TimeEucharist
Chorus

Baba yetu wa mbinguni,jina lako litukuzwe,n`falme wako na ufike, utakalo lifanyike x2.

Verse 2

Duniani kama mbinguni u-tupe leo mkate wetunm-kate wetu wa kila siku (Baba)

Verse 3

Tusamehe makosa yetu (Baba) kama vile twawasamehe

(wale) waliotukosea sisi (Baba)

Verse 4

Situtie majaribuni (Baba) walakini utuopoe

(kweli) maovuni utuopoe (Baba).

Verse 5

Kwa kuwa ufalme ni wako (Baba) pia nguvu na utukufu

(kweli) utukufu hata milele (Baba).

Comments

Sign in to join the conversation

Share your thoughts on this hymn with the community.