Be still and know that I am God x3
I am the Lord that healeth thee x3
In thee, O Lord, I put my trust x3
Aliijua asili yenu hata kablanhamjaumbwa, Ramani ya maisha yenu,
yote imo mikononi mwake, magonjwanyanayowatesa na maumivu yasiyokoma,
ni mdogo kuliko yale aliyoyaponya mwenyewe
Hali mbaya ya kiuchumi, mlo mmoja madeninmengi, ni njia ya kunyenyekea na kumpa
Mungu ukuu, misiba inayowaliza mnapofwanna ndugu zenu, ni njia ya wapendwa wenunkwenda mbinguni wakafurahi
Maumivu ya kuonewa kudhulumiwankusingiziwa, ni nafasi ya kusamehe nankuishi kwa utakatifu. Matatizo ya ndoanzenu na migogoro ya familia, ni bahatinmmejaliwa ya kuishi kwa uvumilivu
Bebeni misalaba uyenu, nyamazeninmsinungunike huo ndio wokovu wenunshikilieni msiachie
Comments
Sign in to join the conversation
Share your thoughts on this hymn with the community.