SectionsBible ProcessionBwana Akawaambia

Bwana Akawaambia

Ordinary Time,Ordinary TimeBible Procession
Chorus

Bwana akawaambia tena akasema

(Mimi ndimi njia ukweli na uzima) x2

Mtu haji kwa baba yangu ila kwa njianyangu mimi

(Mimi ndimi njia ukweli na uzima) x2

Verse 2

Mtu akinipenda atalishika neno langu,

na baba yangu atampenda.

Verse 3

Kaeni ndani yangu nami nikae ndaninyake, kwa maana mimi ni mzabibu.

Verse 4

Mimi ni njia kweli mimi ni njia ya uzima,

ajaye kwangu ana uzima.n

Comments

Sign in to join the conversation

Share your thoughts on this hymn with the community.