Bwana Amejaa
Ordinary TimeThanksgiving
Chorus
Bwana amejaa huruma (amejaa),
Bwana amejaa huruma na neema
Verse 2
Ee nafsi yangu umhimidi Bwana,
Na vyote vilivyomo ndani yangunvilihimidi jina lake takatifu
Akusamehe maovu yako, akuponyenmagonjwa yako yote, akutie taji yanfadhili na rehema
Bwana ndiye afanyaye mambo ya haki,
na hukumu kwa wote wanaoonewa, anlimjulisha Musa njia zake
Bwana amejaa huruma na neema, haoninhasira upesi, ni mwingi wa fadhili nanrehema
Comments
Sign in to join the conversation
Share your thoughts on this hymn with the community.