Chorus
{Bwana asema mimi ni wokovu wa watu
Wakinililia katika taabu yoyote
Nitawasikiliza nami nitakuwa Bwana wao milele} * 2
Verse 2
Ewe Bwana uliirithia nchi yote
Umewarejesha mateka wa Yakobo
Verse 3
Umeusamehe uovu wa watu wako
Umezisitiri hatua zao zote
Comments
Sign in to join the conversation
Share your thoughts on this hymn with the community.