SectionsPrayers of the FaithfulBwana Ni Mchunganji Wangu

Bwana Ni Mchunganji Wangu

Ordinary TimePrayers of the Faithful
Verse 1

Bwana ni mchungaji wangu,

sitapungukiwa kitu,

hulaza kwenye majani mabichinhunongoza kwa maji matulivunhunihuisha nafsi yangu,

huniongoza kwa njia za haki,

nipitapo bondeni mwa mauti,

sitaogopa wewe u nami

Chorus

Hakika wema nazo fadhili, zita nifuatanmimi, nitakaa Nyumbani mwa Bwana,

siku zote za maisaha yangu

Verse 3

Gongo lako na Fimbo yako,

vinanifariji mimi,

huandaa meza mbele yangu,

machoni pa watesi wangu

Comments

Sign in to join the conversation

Share your thoughts on this hymn with the community.