SectionsEucharistBwana, Unihifadhi Mimi

Bwana, Unihifadhi Mimi

Lent,Lent,LentEucharist
Chorus

Bwana, unihifadhi mimi,

Nakulilia wewe mchana kutwa.

Verse 2

Unisikilize, maana mimi ni fukara,

ee Bwana.

Verse 3

Wewe ni Mungu wangu,

unionee huruma, ee Bwana.

Verse 4

Mimi ninakulilia, mchana kutwa,

ee Bwana

Verse 5

Wewe u mwema, na mwenye huruma,

ee Bwana

Verse 6

Umejaa upendo, kwa wotenwanaokuomba, ee Bwana

Verse 7

Usikie sala yangu, uangalie kilionchangu, ee Bwana

Verse 8

Siku za tabu, nakuita, ee Bwana

Verse 9

Hakuna Mungu, aliyekama wewe,

ee Bwana

Verse 10

Hakuna awezaye kufanya,

unavyofanya wewe, ee Bwana

Comments

Sign in to join the conversation

Share your thoughts on this hymn with the community.