SectionsEucharistBwana Yesu Alitamka

Bwana Yesu Alitamka

Lent,Lent,Lent,Lent,Lent,Advent,Advent,Advent,Advent,Baptism,Baptism,Lent,Lent,BaptismEucharist
Verse 1

Bwana Yesu alitamka- mimi ndimi njia yankweli, mtu haji kwa Baba yangu-ila kwannjia yangu mimi

Hebu jiulize, njia gani uifuatayo, nawenwaelekea wapi na wafuata njia ya kweli

Verse 2

Njia nyembamba yenye tabu ndiyoniendayo Mbinguni na ile pana ya anasanyaelekea Jehanam

Verse 3

Ngamia ni rahisi sana kuingia tundunla sindano, kuliko mtu mwenye dhambinkuingia Mbinguni kwa Baba

Verse 4

Mimi ndimi mwanzo na mwishonmimi Alfa na Omega

Mtu haji kwa Baba yangunila kwa njia yangu mimi

Comments

Sign in to join the conversation

Share your thoughts on this hymn with the community.