Ee Bwana Mungu Nikupe Nini
Ordinary TimePresentation of Gifts
Chorus
Ee Bwana Mungu na mimi nikupe nini?
Nina zawadi kidogo ee Bwana wangu, pokea zawadi
Verse 2
Ee Bwana Mungu na mimi nikupe nini,
Nakutolea mkate nayo divai, pokea zawadin
Verse 3
Ee Bwana Mungu na mimi nikupe nini,
Nakutolea mazao ya mashambani, pokea zawadi
Verse 4
Ee Bwana Mungu na mimi nikupe nini,
Nilivyo navyo ni vyako ee Bwana wangu, pokea zawadi
Comments
Sign in to join the conversation
Share your thoughts on this hymn with the community.