Chorus
Ee Bwana nakuinulia nafsi yangu
Ee Mungu wangu, ee Mungu wangu
Nimekutumaini wewe nisiaibike
Ee Mungu wangu, ee Mungu wangu
Nimekutumaini wewe nisiaibike
Verse 2
Adui zangu wasifurahi kwa kunishinda
Nao wakungojeao hawataaibika
Verse 3
Bwana unijulishe njia zako zote Bwana
Bwana unifundishe mapito yako yote
Comments
Sign in to join the conversation
Share your thoughts on this hymn with the community.