Chorus
Ee Bwana twaomba upokee sadaka yetu hii tunayokutolean{ Twakusihi sana ibariki Babaniwe safi sana iwe kama ile ya Abeli } *2
Verse 2
Baba twaleta mkate na divai, kazi ya mikono yetu Baba
Ibariki Baba, iwe safi sana iwe kama ile ya Abeli
Verse 3
Baba twaleta na fedha zetu, japo ni kidogo sana Baba
Zipokee Baba, zikupendeze ziwe kama zile za Abeli
Verse 4
Baba twaleta na sala zetu, Baba twakuomba zisikilize
Twakusihi sana, zisikilize kama sala zile za Abeli
Comments
Sign in to join the conversation
Share your thoughts on this hymn with the community.