SectionsExitEe Bwana Ulimwengu Wote {Ii}

Ee Bwana Ulimwengu Wote {Ii}

Ordinary TimeExit
Chorus

Ee Bwana ulimwengu wote u katika uweza wakon{Wala hakuna awezaye kukupinga

Wala hakuna awezaye kukupinga ukipenda }*2

Verse 2

Wewe umeumba vyote Mbingu na nchi

Na vitu vyote vya ajabu vilivyomo chini ya Mbingun

Ndiwe Bwana Bwana wa vyote

Verse 3

Kwa kuwa Bwana ni mkuu

Mwenye kusifiwa sana na wa kuhofiwa kuliko miungu

Maana miungu ya watu si kitu

Lakini Bwana ndiye aliyezifanya Mbingu

Comments

Sign in to join the conversation

Share your thoughts on this hymn with the community.