Chorus
Ee Mama yetu Maria twaomba sana ee mamanusituache gizani kwa mwanao utuombee *2
Verse 2
Mama yetu Maria utusikilize,
sisi wana wako tunaosumbuka,
maisha yetu Mama hayana furahantujaze neema tupate baraka.
Verse 3
Utuombee kwake mwanao mpendwa,
atutie nguvu tushinde maovu.
Dunia ina giza dunia ni ngumu,
bila nguvu yake hatuwezi kitu.
Verse 4
Tuombee Maria, tuombee Mama,
ili wana wako wafke mbinguni,
maisha yetu Mama hayana furahantujaze neema tupate baraka.
Comments
Sign in to join the conversation
Share your thoughts on this hymn with the community.