Ee Mungu Mungu Wangu
Ordinary Time,MarianBible Procession
Chorus
Ee Mungu Mungu wangu,
moyo wangu uthabiti,
nitaimba nitaimba zaburi x2
Amka ewe kinanda, amka ewe kinubi,
nitaamka alfajiri nitamuimbia Bwana x2
Verse 2
Ee Mungu nitakushukuru kati ya watu,
nitakuimbia zaburi kati ya mataifa.
Verse 3
Kwa maana fadhili zako ni za milele, nanuaminifu wako hata juu mawinguni.
Verse 4
Ee Mungu utukuzwe juu ya mbingu yote,
na juu ya nchi yote uwe utukufu wako.
Comments
Sign in to join the conversation
Share your thoughts on this hymn with the community.