SectionsExitEe Mungu Nchi Yote Itakusujudu

Ee Mungu Nchi Yote Itakusujudu

Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,MarianExit
Chorus

Ee Mungu ee Mungu nchi yote itakusujudia na kukuimbia Bwana

Italiimbia Jina Lako, Jina Lako wewe Mtukufu

Italiimbia Jina Lako, Jina Lako wewe Mtukufun

Verse 2

Mpigieni Mungu kelele za shangwe

Imbeni utukufu wa jina jina lake

Verse 3

Tukuzeni sifa zake mwambieni Mungu

Matendo yake yanatisha yatisha kama nini

Comments

Sign in to join the conversation

Share your thoughts on this hymn with the community.