SectionsExitFadhili Za Bwana

Fadhili Za Bwana

Ordinary Time,Marian,Easter,Ordinary Time,Resurrection,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Lent,Ordinary Time,LentExit
Chorus

Fadhili, Fadhili za Bwana nitaziimba milele*2

Kwa kinywa changu nitavijulisha (vijulisha)

vizazi vyote uhaminifu wako

Nitavijulisha, uhaminifu wako.

Verse 2

Maana nimesema, nimesema fadhili zitajengwa milele,

katika mbingu utaudhibitisha uaminifu wako

Verse 3

Nimefanya agano,

a mteule wangu nimemwapia Daudi,

mtumishi wangu,kuwa wazao wako nitawafanya imara milele

Comments

Sign in to join the conversation

Share your thoughts on this hymn with the community.