Chorus
Furahini katika mji wa Daudi amezaliwa mtoto *2
Tumepewa mtoto mwanaumenmwenye ufalme mabegani pake
Enyi mataifa njooni tufurahi tumshangilie Bwana
Tumshangilie Bwana Yesu kazaliwa *2
Verse 2
Kwa maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa,
tumshangile (Bwana)
Tumepewa mtoto mwana wake Mungunkwetu kazaliwa, tumshangilie (Bwana)
Verse 3
Na uwezo wa kifalme utakuwa begani mwake,
tumshangilie (Bwana)
Ataitwa jina lake mshauri wa ajabu,
tumshangilie (Bwana)
Comments
Sign in to join the conversation
Share your thoughts on this hymn with the community.