Verse 1
Habari njema kwa wakristu wote, Mwokozi Kristu amefufuka
Habari njema kwa wakristu wote, Mwokozi Kristu amefufuka
Chorus
Ewe mkristu, shangwe kuu kwake amefufuka*2
Verse 3
Naye Mariyamu na wenzake wote walikuta kaburi liko wazi
Hapo mariyamu akaenda mbio kwa wanafunzi kupasha habari
Verse 4
Thomaso naye hakuamini kamwe ya kwamba Yesu kafufuka
Kwa maonyesho pia Thomaso kweli akaamini amefufuka
Comments
Sign in to join the conversation
Share your thoughts on this hymn with the community.