Chorus
Wamwimbia Hosana x2 Wote mwana wa
Daudi wamwimbia Hosana Hosana
Walimwimbia Hosana
Verse 2
Hapo kale Bwana Yesu walimwimbia,
walimwimbia Hosana, waliimbanwakienda yerusalemu, walimwimbia Hosana
Walitandika na nguo zao njiani,
walimwimbia Hosana, walitandika nanmajani ye mitende, walimwimbia Hosana
Watu wengi waliotangulia mbele,
walimwimbia Hosana, walisema huyunndiye M’barikiwa, walimwimbia Hosana
Yeye ndiye ajaye kwa jina la Bwana,
walimwimbia Hosana
Comments
Sign in to join the conversation
Share your thoughts on this hymn with the community.