Chorus
{Heri amkumbukaye mnyonge ataokolewa siku ya tabu
Bwana atamlinda na kumhifadhi na kumhifadhi hai } * 2
Verse 2
Na atamtegemeza atamtegemeza alipo
Atamtegemeza alipo mgonjwa mgonjwa wa kitandani
Verse 3
Katika ugonjwa wake, nawe umemtandikia
Na mimi nalisema Bwana unifadhili unifadhili mimi
Verse 4
Katika ukamilifu wake, umeniweka mbele ya uso
Na umeniweka mbele ya uso wako na uso wako milele
Comments
Sign in to join the conversation
Share your thoughts on this hymn with the community.