Chorus
Hii ni karamu, uzima wa roho,
Yumo Bwana Yesu, kwa mwili wake, kweli na damu yake
Verse 2
Alisema Bwana twaeni wote, mle ni mwili wangu
Verse 3
Alisema Bwana twaeni wote, mnywe ni damu yangu
Verse 4
Nasi twasadiki ni mwili wake, kweli na damu yake
Verse 5
Alituamuru kufanya hivyo, kwa ukumbusho wake
Verse 6
Tukifanya hivyo tunatangaza, kifo cha Bwana Yesu
Verse 7
Kwa hii karamu, Twashiriki uzima wa Bwana wetu
Verse 8
Huu ni upendo aliotuachia, mkombozi wetu
Verse 9
Hapa duniani twaishi na Baba, kwa karamu hii
Verse 10
Na huko mbinguni tutaishi, na Baba milele yote
Comments
Sign in to join the conversation
Share your thoughts on this hymn with the community.