SectionsEucharistHiki Ni Chakula (Ii)

Hiki Ni Chakula (Ii)

Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Lent,Lent,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,MarianEucharist
Chorus

{ Hiki ni chakula kilichoshuka kutoka mbinguni,nasema Bwana } *2n{ /b/ Siyo kama ile mana ya jangwani ambayo,

Baba zenu, baba zenu walikula

Baba zenu jangwani nao wakafann/t/ Siyo kama ile mana ya jangwani ambayo, Baba zenu walikula

Baba zenu jangwani nao wakafann/a/ Siyo kama ile mana ya jangwani ambayo walikula

Baba zenu jangwani nao wakafann/s/ Siyo kama ile mana ya jangwani walikula

Baba zenu jangwani nao wakafa } *2

Verse 2

Chakula hiki kweli ni chakula chenye uzima, asema Bwana,

Anayekula mwili na kuinywa hii damu, anao uzima

Verse 3

Twendeni wote tule mwili wake na damu yake, kwa Bwana Yesu

Anatualika sote kwa karamu yake kweli, tukale chakula

Verse 4

Songea ndugu wewe ni mwenye haki ya kujongea meza ya Bwana

Anakuita ule mwili wake na damu yake, upate uzima

Comments

Sign in to join the conversation

Share your thoughts on this hymn with the community.