Chorus
Hodi hodi nyumbani mwako Bwana
Ninabisha nifungulie, Nimekuja nyumbani mwako leo
Nimekuja kukuabudu
Kwa unyenyekevu naijongea
Meza yako yenye baraka
Nakuja na sala zangu ee Bwana
Nakuomba zisikilize
Ninakutolea sadaka yangu
Mungu Baba uipokee
Verse 2
Nyua za Bwana zapendeza,
zinapendeza macho kama nini
(Natamani kuingia hekaluninnikamwabudu) *2
Verse 3
Nimeingia hekaluni,
nimeingia hekaluni mwako
(Nimekuja kuabudu kusujudunnyumbani mwako) *2
Verse 4
Unipokee Mungu wangu,
unitakase mimi mwenye dhambi
(Nimekuja mbele zako Mungu Babanunipokee) *2
Comments
Sign in to join the conversation
Share your thoughts on this hymn with the community.