Verse 1
Huko njiani Maria waonaje hali ya mwanao
Chorus
Ni damu hata pia na vidonda
Machozi machozi, macho-zi yamfumba macho *2
Ee maria uliyepata uchungunkwa mateso uliyoona kwa mwanao
Maria mama nipe uvumilivunniwapende hata pia adui zangu
Verse 3
Anapokutana nawe ni uchungu unavyotazama
Verse 4
Dhambi zetu wanadamu zamtonesha uchungu twaona
Comments
Sign in to join the conversation
Share your thoughts on this hymn with the community.