Chorus
Huyu ni yule Yesu, [t] Yesu
Yesu mwana wa Daudi
Huyu ni yule Yesu, [s] Yesu
Mwana wa Galilaya
Verse 2
Mwambieni Binti Sayuni, tazama mfalme wako
(Anakuja kwako mpole, amepanda mwanapunda*2)
Verse 3
Inukeni enyi malango, inueni vichwa vyenu
(Mfalme apate ingia, mfalme wa utukufu *2)
Verse 4
Na watoto wa Wayahudi, walimlaki Mwokozi
(Wakiyachukua matawi, wakipiga makelele *2)
Verse 5
Aliyakemea mawimbi, bahari ikatulia
(Akatembea juu ya maji, akatembea kwa miguu *2)
Verse 6
Aliponya wagonjwa wengi, kwa neno la kinywa chake
(Hata vazi lake ni dawa, yule mama alipona *2)
Verse 7
Alimfufua Lazaro, Lazaro aliyekufa
(Akarudi tena mzima akatoka kaburini *2)
Comments
Sign in to join the conversation
Share your thoughts on this hymn with the community.