SectionsEntranceInakuwaje Tunasikia

Inakuwaje Tunasikia

Ordinary Time,Ordinary Time,Lent,Resurrection,Ordinary Time,Ordinary TimeEntrance
Chorus

Inakuwaje tunasikia maneno, wanayosema,

kwa lugha yetu wenyewe

Tunasikia mambo hayo ya Mungu, wanayosema,

kwa lugha yetu wenyewenn{ Wao ni wa Galilaya, na si ni wa makabila,

Ya kutoka nchi mbalimbali (duniani)

Ina maana gani, linashangaza jambo hilo } *2

Verse 2

Siku ile ya Pentekoste ilipofika,

mitume nao waamini

Walikusanyika pamoja katika nyumba,

walimokuwa wamekaa

Verse 3

Mara uvumi wa upepo ukasikika,

ndimi za moto zikawashukia,

Wakawa wamejazwa na Roho Mtakatifu,

wakisema lugha nyingi

Comments

Sign in to join the conversation

Share your thoughts on this hymn with the community.