Waambieni wenye moyo safi, jipeni moyo
Waambieni wenye moyo safi, jipeni moyonn{ Tazama Mungu wenu anakuja kuwaokoa,
Naye atawasikizisha ninyi sauti yake katikann/s/ Furaha ya mioyo yenu *2
Furaha ya mioyo yenu, mioyo yenunn/a/ Furaha furaha, furaha ya mioyo
Furaha ya mioyo, mioyo yenun/t/ Furaha, furaha, furaha ya mioyo yenu
Furaha ya mioyo yenun/b/ Furaha, furaha, furaha, furaha
Furaha ya mioyo mioyo yenu } *2
Na waambieni (waambieni) wote jipeni moyo (jipeni moyo),
Mungu wenu anakuja kuwaokoa
Machozi yenu (na kilio), pia ni furaha yenu (hakika),
Kupanda ndio machozi, mavuno furaha
Nyenyekeeni (nyenyekea) wote kiti chake Mungu (cha Mungu),
Mpate uzima ule utokao kwake
Comments
Sign in to join the conversation
Share your thoughts on this hymn with the community.