Chorus
Kama ayala aioneavyo kiu mito ya maji ndivyo ninavyokuonea kiu Mungu wangu x2
Verse 2
Ninatamani kushibishwa kwa mwili wako Bwana wangu, Ninatamani kuburudishwa kwa damu yako Mungu wangun
Umeniumba kwa ajili yako ndiyo maana sishibishwi, Utanituliza nafsi yangu Mungu wangu uliye hain
Karibu Bwana moyoni mwangu niishi kiekaristia ili nipate raha ya kweli nikupendeze siku zote
Comments
Sign in to join the conversation
Share your thoughts on this hymn with the community.