Kando Ya Mito

Ordinary Time,MarianBible Procession
Chorus

Kando ya mito ya Babeli, ndipo tulipoketi,

tukalia tulipoikumbuka Sayunin{(Tukalia sana)

tukalia tulipoikumbuka Sayuni} x2n

Verse 2

Katika miti iliyo katikati yake,

tulivitundika vinubi vyetu

Verse 3

Maana hao waliotuchukua mateka, naonwalitaka tuwaimbie n

Verse 4

Tuuimbeje wimbo wa Bwana ugenini,

mkono wa kuume nao usahau

Comments

Sign in to join the conversation

Share your thoughts on this hymn with the community.