Verse 1
Kesheni pia ombeni, Mwokozi Yesu yuaja
Vaeni mjifunge tayari tumlaki
(Yesu) yuaja mawinguni, Wakristu tumlaki
Kesheni . . .
Verse 2
Upanga wako na uwe Neno la Bwana Yesu
Na ngao na iwe na Mwana wa Mungu
(Yesu) daima ukiwa naye hushindwi na maovu
Upanga . . .
Verse 3
Niumbie Roho mwema Bwana wangu
Nishikie mkono ewe Masiha niwe wako milele
(Yesu) nikuandame Masihi nisikuache kamwe
Niumbie . . .
Comments
Sign in to join the conversation
Share your thoughts on this hymn with the community.