SectionsEntranceKiapo Cha Ubatizo

Kiapo Cha Ubatizo

Baptism,BaptismEntrance
Verse 1

[ t ] Kiapo cha uba-tizo wangu,

kutoa si mimi ni wao

Ni mzima nayo akili yangu,

ninaapa mwenyewe leo

Chorus

{ Ninaapa, ninaapa,

ninaapa mwenyewe leo,

Ninaapa mwenyewe leo } *2

Verse 3

Naapa Yesu ndiye Mwokozi,

sadaka mlipa le-tu deni

Mwenyewe Mwana wa Mwenye-zi,

naapa ni yangu imani

Verse 4

Naapa kwa Mungu na kanisa,

ni mtoto tangu ubatizo

Ya jana nayatubu makosa,

naapa ni mtu mpya si mchezo

Comments

Sign in to join the conversation

Share your thoughts on this hymn with the community.