SectionsExitKizazi Hiki

Kizazi Hiki

Wedding,Wedding,Ordinary Time,Wedding,Ordinary Time,Ordinary Time,Lent,Lent,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary TimeExit
Chorus

Nikifananishe kizazi hiki na kitu gani?

Nashindwa kusema kwa lugha nzuri iliyo fasaha } *2n{ (tazama) kizazi hiki kisicho na upendo,

kizazi kisicho na huruma,

chenye moyo wa jiwe (hakika)

hiki ni kizazi cha nyoka } *2

Verse 2

Kizazi kilichojaa chuki na kisasi,

ufisadi na moyo wa hila

Verse 3

Kizazi kinachotukuza ushirikina,

tamaa na anasa za dunia

Verse 4

Ndimi zao zanena upotovu na unafiki,

na kuliasi JIna la Bwana

Verse 5

Mzabibu uliopanda na kuunyeshea mvua,

tazama umekuwa mzabibu mwitu

Comments

Sign in to join the conversation

Share your thoughts on this hymn with the community.