Chorus
Kuleni mwili wangu, kunyweni damunyangu mtaishi milele asema Bwana x2n
Verse 2
• Mimi ndimi chakula, chakula chanuwingu - asema Bwanan• Mimi ndiye kinywaji kitokacho mbingunin• Mimi ndiye uzima ushukao mbingunin• Mimi ndiye faraja itokayo mbingunin• Mimi ni njia kweli, iendayo mbingunin• Wote wajao kwangu nitawapa tulizon• Yeye ajaye kwangu atapata uziman• Kaeni ndani yangu nami nikae kwenu milele
Comments
Sign in to join the conversation
Share your thoughts on this hymn with the community.