(Kunapendeza kutazama kwake Bwana, nnyumba yake Bwana inapendeza) *2.
Inapendeza (kweli) inapendeza (sana),
inapendeza inafurahisha moyo.
Nyumba ya Bwana inapendeza.
(Kuna furaha kuingia kwake Bwana, nnyumba yake Bwana ina furaha) *2
Ina furaha (kweli), ina furaha (kubwa),
ina furaha ni furaha ya mbinguni.
Nyumba ya Bwana ina furaha
(Kuna Baraka kuabudu kwake Bwana,
nyumba yake Bwana ina Baraka) *2
Ina Baraka (kweli) ina Baraka (nyingi),
ina Baraka inayo baraka tele.
Nyumba ya Bwana ina Baraka
(Kuna chakula kutulia kwake Bwana,
nyumba yake Bwana ina chakula) *2
Ina chakula (kweli), ina chakula (kingi),
ina chakula ni chakula cha roho zetu.
Nyumba ya Bwana ina chakula
(Kuna uzima kusujudu kwake Bwana,
nyumba yake Bwana ina uzima) *2
Ina uzima (kweli) ina uzima (tele), inanuzima ni uzima wa milele.
Nyumba ya Bwana ina uzima
Comments
Sign in to join the conversation
Share your thoughts on this hymn with the community.