Chorus
Lala kitoto cha Mbingu, lala sinzia lala
Malaika wake Mungu atakutunzia
Lala kitoto cha Mbingu, lala sinzia lala
Malaika wake Mungu atakutunziann{ Lala (kitoto) lala lala (sinzia) lala (sinzia)
Lala kitoto lala sinzia Mwana wa Mungu }*2
Verse 2
Lala kitoto lala, sinzia mtoto
Malaika wa Mungu atakutunzia
Lala Mwana wa Mungu, Mungu wetu sinzia
Malaika wake Mungu atakutunzia
Verse 3
Maria na Yusufu, wambusu kitotonwachungaji wanapiga magoti kusujudia
Ni mfalme wa amani, mshauri wa amani
Mungu Mwenyezi Baba yetu, wa milele milele
Verse 4
Nasi twendeni hima, tukamwone mtoto
Tumsalimie yeye, pamoja naye Mama Maria
Tumsujudie Mfalme, tumtolee zawadi,
Ndiye Mkombozi aliyekuja, kwa ajili yetu sisi
Comments
Sign in to join the conversation
Share your thoughts on this hymn with the community.