Leo ni siku ya Pasaka, tumshangilie Bwana wetu -
Leo ni siku ya Pasaka, tumshangilie Bwana wetu
Mwanakondoo aliyekufa atawala mzima leo
Aleluya Bwana Yesu leo ameshinda kifo *2
Aleluya Bwana Yesu leo amshinda kifo *2
Yesu tumaini (letu) kafufuka mfalme (wetu)
Sote na tuimbe, (hosanna) tukimsifu Mfalme (wetu)
Aleluya Bwana Yesu leo ameshinda kifo
Kristu mshindaji wetu atupatanisha na Baba
Katika wafu ametoka tumshangilie Bwana wetu
Maria Magdalena tuambie ni nini ulichoona leo
Niliona kaburi tupu sanda na nguo zimebakinnikawaona malaika wakitangaza ufufuko
Niliona kaburi tupu sanda na nguo zimebakinnikawaona malaika wakitangaza ufufuko
Sasa nasi tuombe atusaidie tushinde pia
Kristu uliyefufuka utuhurumie na sisi
Kristu uliyefufuka utuhurumie na sisi
Comments
Sign in to join the conversation
Share your thoughts on this hymn with the community.