Verse 1
Leo tuna furaha nyingi sana,
kwenye harusi ya wazazi wetu
Yaliyobaki na tuseme nini,
tuwape hongera kwa kazi yao
Chorus
Pete mikononi mwao,
furaha nyusoni mwao
Bwana Mungu twakuomba,
hawa wawili wasiachane
Verse 3
Hongera hiyo hongera kwa wote,
mliyoweza kufika karibu
Kwa vile mmeshashuhudia,
harusi ya hawa wazazi wetu
Verse 4
Yesu naye alikua kanani,
kwenye harusi kubwa sana sana
Alifurahi kuona wawili,
wakiagana kuishi pamojan
Comments
Sign in to join the conversation
Share your thoughts on this hymn with the community.