Leteni Sadaka Kamili
Leteni sadaka kamili ghalani *2n{ Ili chakula kiwemo katika nyumba yangu,
Asema Bwana, Bwana wa majeshi } *2
Mkanijaribu kwa njia hiyo, asema Bwana
Nitafungua milango ya mbingu, asema Bwana
Na kuwamwagia baraka tele, asema Bwana
Mimi ndimi mgawa wa vipaji, asema bwana
Nitawaongezea maarifa, asema Bwana
Ya kuyashinda magumu yoyote, asema BwanaMimi ndimi mgawa wa vipaji, asema bwana
Nitawaongezea maarifa, asema Bwana
Ya kuyashinda magumu yoyote, asema Bwana
Mtakachokiomba nitawapa, asema bwana
Nitawapa vyeo na mali nyingi, asema Bwana
Nakuuondoa umasikini, asema Bwana
Nitawalinda na kuwasitawisha, asema Bwana
Nanyi mtazaa matunda bora, asema Bwana
Yatakayo dumu milele yote, asema Bwana
Comments
Sign in to join the conversation
Share your thoughts on this hymn with the community.