Lugha Ya Muziki
Nimesikia nyimbo nzuri za kumsifu Mungunmi fa so do ti la so mi Lugha ya muziki
Nimependezwa sana mimi kumuimbia Mungunmi fa so do ti la so mi Lugha ya muzikin
Waimbaji wanaimba, nyimbo nzuri tamu tamu
Utukufu wake Mungu, atukuzwe Mungu so so Mungu wetu
Malaika wanaimba nyimbo nzuri tamu tamu utukufu wake
Mungu atukuzwe Mungu so so Mungu wetu
Kwa lugha ya muziki Mungu asikia kuomba kwetu
Kwa lugha ya muziki Mungu asikia na sala zetu
Kwa lugha ya muziki Mungu analeta faraja kwetu
Kwa lugha ya muziki Mungu analeta upatanishi
Kwa lugha ya muziki Mungu analeta furaha kwetu
Kwa lugha ya muziki Mungu huondoa hasira kwetu
Kwa lugha ya muziki Mungu atuweka karibu naye
Kwa lugha ya muziki Mungu atuliza mateso yetu
Comments
Sign in to join the conversation
Share your thoughts on this hymn with the community.