Malaika Wa Bwana Uchukue Sadaka
Christmas,Ordinary TimePresentation of Gifts
Chorus
Malaika wa Bwana, uchukue sadaka,
upeleke mbele ya uso wa Mungu x 2
Verse 2
Ni mazao ya nchi yetu,
na kazi yetu wanadamu Malaika
Verse 3
Mkate mazao ya shamba,
divai tunda la mzabibu Malaika
Verse 4
Ufikishe sadaka hii,
karibu na kiti cha enzi Malaika
Verse 5
Sadaka yetu ifanyike,
mbele ya uso wa Muumba Malaika
Comments
Sign in to join the conversation
Share your thoughts on this hymn with the community.