SectionsExitMama Maria Pokea Zetu Salamu

Mama Maria Pokea Zetu Salamu

MarianExit
Chorus

Mama Maria pokea zetu salamu, twakusalimu ee Mama wa Mkombozi, leo twakuimbia tukikushangilia x2

Verse 2

Utuombee kwa mwanao yesu kristu,

Tupate heri na maisha ya furaha

Maombi yetu pamoja na sala zetunzifike kwake yesu mkombozi wetu

Twakusalimu salamu mama marianmbarikiwa uliyejaa neema

Twakuimbia kwa shangwe pia furaha,

twakusalimu pokea zetu salamu

Comments

Sign in to join the conversation

Share your thoughts on this hymn with the community.