Mchanganyo x2 Bwana Yesu amekataa
Mchanganyo x2 Bwana Yesu amekataa
Kiburi kidogo unaweka -
Kanisani nako umo humo
Dharau kidogo unaweka -
Kanisani nako umo humo
Mchanganyo x2 mmo humo Bwana Yesunamekataa
Uwongo kidogo unaweka -
Kanisani nako umo humo
Fitina kidogo unaweka -
Kanisani nako umo humo
Mchanganyo x2nmmo humo Bwana Yesu amekataa
Uchawi kidogo unaweka -
Hirizi kidogo umnaweka -
Ulevi kidogo unaweka -
Ugomvi kidogo unaweka -n
Uchoyo kidogo unaweka -
Ulaf kidogo unaweka -
Kinyongo kidogo unaweka -
Tamaa kidogo unaweka -n
Suria kidogo unaweka -
Na wizi kidogo unaweka -
Kimini kidogo unavaa -
Na nguo za kubana unavaa -n
Dhuluma kidogo unafanya -
Utoaji wa riba unafanya -
Anasa kidogo unafanya -
Uzinzi kidogo unafanya -
Comments
Sign in to join the conversation
Share your thoughts on this hymn with the community.