Mimi Nimesikia

Ordinary TimeBible Procession
Chorus

Alleluia aa alleluia alleluia alleluia x2

Verse 2

Mimi nitasikia, ee sauti ya Bwana ee

Mungu wangu. x2n

Sauti ya Bwana, inaleta uzima eenee Mungu wangu. x2n

Mafundisho ya Bwana, yanaletanuzima ee ee Mungu wangu x2n

Unifundishe Bwana, mapenzi yakonee ee Mungu wangu. x2

Comments

Sign in to join the conversation

Share your thoughts on this hymn with the community.